Elections 2010 Mgombea wa Chadema Karagwe apeta!

Elections 2010 Mgombea wa Chadema Karagwe apeta!

AmaniKatoshi

Senior Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
158
Reaction score
14
Wajameni, habari za leo tena. Kuna tetesi kuwa yule mgombea wa chadema aliyeenguliwa Karagwe NEC imemrudishia hadhi ya kugombea. Kama ni kweli tujiulize "wasimamizi wa uchaguzi majimboni ni wala rushwa au ni washabiki au ni waamuzi wa CCM? Mbona maamuzi yao yanatenguliwa?
 
mimi wala sishangai, nyani ngabu kishalisema hapa - miafrika ndivyo tulivyo
 
Kama ni kweli karudishwa, siamini kama haki itatendeka iwapo hao wasimamizi watabaki kusimamia uchaguzi. They need to go!!
 
Tz vituko vya watawala ni vingi, Usishangae sana
 
du hii nchi bwana tume inawarudisha ili kufanya tusahau pingamizi la kikwete
 
Back
Top Bottom