Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,904
- 1,064
keshatoa picha ya aina gani kwa wapiga kura?
yule mgombea ubunge wa chadema jimbo la nkenge ambaye alikuwa amechukua uamuzi wake wa kusitisha michakato ya ugombea ubunge ndugu phocas rwegasira, ametengua uamuzi wake na sasa atagombea na anaendelea na kampeni kama kawaida kule jimboni kwake.
Habari ndiyo hiyo
Yule Mgombea ubunge wa Chadema jimbo la Nkenge ambaye alikuwa amechukua uamuzi wake wa kusitisha michakato ya ugombea ubunge ndugu Phocas Rwegasira, ametengua uamuzi wake na sasa atagombea na anaendelea na kampeni kama kawaida kule jimboni kwake.
Habari ndiyo hiyo
ningekuwa mimi mpiga kura nisingempa kura yangu.Yule Mgombea ubunge wa Chadema jimbo la Nkenge ambaye alikuwa amechukua uamuzi wake wa kusitisha michakato ya ugombea ubunge ndugu Phocas Rwegasira, ametengua uamuzi wake na sasa atagombea na anaendelea na kampeni kama kawaida kule jimboni kwake.
Habari ndiyo hiyo
nina mashaka na chanzo cha habari hii.tunahitaji maelezo zaidi