Elections 2010 Mgombea wa Chadema Nkenge atengua uamuzi wake

Elections 2010 Mgombea wa Chadema Nkenge atengua uamuzi wake

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Posts
7,904
Reaction score
1,064
Yule Mgombea ubunge wa Chadema jimbo la Nkenge ambaye alikuwa amechukua uamuzi wake wa kusitisha michakato ya ugombea ubunge ndugu Phocas Rwegasira, ametengua uamuzi wake na sasa atagombea na anaendelea na kampeni kama kawaida kule jimboni kwake.

Habari ndiyo hiyo
 
keshatoa picha ya aina gani kwa wapiga kura?
 
yule mgombea ubunge wa chadema jimbo la nkenge ambaye alikuwa amechukua uamuzi wake wa kusitisha michakato ya ugombea ubunge ndugu phocas rwegasira, ametengua uamuzi wake na sasa atagombea na anaendelea na kampeni kama kawaida kule jimboni kwake.

Habari ndiyo hiyo

kapozwa
 
nice so faranasababu ya kueleza wananchi kulikoni
 
Hana mwelekeo kwani hatakuwa seriously katika kampeni kwani yeye kaogopa kupoteza uhai wake kwa hasira ya wananchi!!Ndo maana karudi lakini kiukweli mwelekeo alishatoa!!Niwakumwangalia kwa makini sana!
 
Inabidi apate msaada wa kuwashawishi wapiga kura, priority now is to see CCM out, wapo kibao wabunge wa CCM wanaekwenda kulala na kupiga makofi akiwepo mmoja wa Chadema siyo shida.
 
Hapa kazi itakuwepo siyo siri, but kama kweli ni wanamaendeleo basi wampe tu!
 
nina mashaka na chanzo cha habari hii.tunahitaji maelezo zaidi
 
Yule Mgombea ubunge wa Chadema jimbo la Nkenge ambaye alikuwa amechukua uamuzi wake wa kusitisha michakato ya ugombea ubunge ndugu Phocas Rwegasira, ametengua uamuzi wake na sasa atagombea na anaendelea na kampeni kama kawaida kule jimboni kwake.

Habari ndiyo hiyo

Hivi kweli bado ana nafasi???
 
Source please!! Tusije tukawa tunajadili ile habari ya Dr. Shein kujitoa katika Kinyang'anyiro cha mchakato wa Urais Zanzibar!!!
 
Ahsante kurudi Mh Mbunge mtarajiwa, jamaa ananguvu sana najua hali halisi hilo jimbo.
 
Yule Mgombea ubunge wa Chadema jimbo la Nkenge ambaye alikuwa amechukua uamuzi wake wa kusitisha michakato ya ugombea ubunge ndugu Phocas Rwegasira, ametengua uamuzi wake na sasa atagombea na anaendelea na kampeni kama kawaida kule jimboni kwake.

Habari ndiyo hiyo
ningekuwa mimi mpiga kura nisingempa kura yangu.
Bora kupambana na shetani kuliko msaliti
 
Back
Top Bottom