Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,237
- 31,811
Walimtukana sana JK tukadhani ni watetezi wa haki kumbe JK hakuwa mwenzao tu.Maaskofu wa leo ni wasakatonge tu
So sad.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walimtukana sana JK tukadhani ni watetezi wa haki kumbe JK hakuwa mwenzao tu.Maaskofu wa leo ni wasakatonge tu
Subiri uone vituko vya NEC kama hiyo barua ya pili wataikubali.
Unashukuru kuuwawa wa watu mkuu, waliouwawa n watanzania wenzetu.Nashukuru vijana wa Tunduma,
Sasa bado Mbeya, Morogoro, Gairo, Moshi, mpaka tutaheshimiana, Tunduma ilikuwa ni salamu za awali tu
Ni aibu kweli ya demokrasia ya Tanzania.Tatizo aibu tunaona sisi waungwana lakini huyo anayetenda hayo hana haya ndio maana anarudia kila siku.Ni aibu tupu!!
Huwezi kuwaona kama uzi sio wa kumsifia baba mwenye nyumba na chama chake.Mpk comment yangu huu ya 27 Mataga sijawaona kwny uzi huu,sijui wamepotelea wapi aisee.