KERO Mgombea wa Mtaa wa Sabasaba - Singida turekebishie barabara yetu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

try me

Member
Joined
Nov 8, 2024
Posts
16
Reaction score
11
Mwezi Septemba mwaka huu bull dozer ilikuja mtaani kwetu na kutifua barabara tangu siku hiyo halijawahi kurudi japo kusawazisha.

Barabara mbaya ina matuta haijawasazishwa tunapita kwa tabu sana.

Najua lengo lako ilikuwa kutuchota akili ili tukupe nafasi nyingine. Ninachokuomba turekebishie barabara yetu mvua zikianza itakuwa mbaya zaidi.

Pia soma ~ Barabara ya Mtaa wa Sabasaba Manispaa ya Singida Kutengenezwa
 

Attachments

  • IMG-20241120-WA0008.jpg
    34.4 KB · Views: 3
Kila mkoa una mtaa wa Sabasaba, kuwa specific unamaanisha sabasaba ya wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…