GE2025 Mgombea wa ubunge CHAUMMA avalia mavazi ya CHADEMA kwenye kampeni

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
James Mbowe mgombea ubunge jimbo la Hai kupitia chama cha Ukombozi wa umma CHAUMMA apiga kampeni za kuwania ubunge akiwa amevalia sare za chama chake cha zamani cha Chadema, ikumbukwe kuwa James Mbowe alikuwa mwanachama wa chama hicho kabla ya kuhamia CHAUMMA

Kila mtu anataka kumrithisha mtoto wake. Jk Ridhiwani awe Rais; Mwinyi na hussein; Mbowe na huyu
 
Kwahiyo mgambo nao wanavaa nguo za chadema?
 
Back
Top Bottom