Kila mtu anataka kumrithisha mtoto wake. Jk Ridhiwani awe Rais; Mwinyi na hussein; Mbowe na huyuJames Mbowe mgombea ubunge jimbo la Hai kupitia chama cha Ukombozi wa umma CHAUMMA apiga kampeni za kuwania ubunge akiwa amevalia sare za chama chake cha zamani cha Chadema, ikumbukwe kuwa James Mbowe alikuwa mwanachama wa chama hicho kabla ya kuhamia CHAUMMA