Mgombea wa urais Iran: Waislamu tuungane kuitetea Gaza

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Mmoja wa wagombea wa urais nchini Iran ametoa mwito kwa Waislamu kuwa na umoja na mshikamano katika kulitetea taifa madhulumu la Palestina, hasa wakazi wa Ukanda wa Gaza wanaokabiliwa na mashambulizi ya kikatili ya utawala wa Kizayuni wa Israel tokea Oktoba mwaka jana 2023.

Mostafa Pourmohammadi ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Waziri wa Sheria hapa nchini ametoa mwito huo katika mahojiano na kanali ya televisheni ya al-Jazeera ya Qatar na kuongeza kuwa, kuna haja ya kuundwa ustaarabu mpya wa Kiislamu na kuhuisha hadhi na izza ya umma wa Kiislamu.

Pourmohammadi ameeleza bayana kuwa, "Tuunganeni ili kulinda haki zetu sisi kwa sisi na kuimarisha uhusiano wetu, tuunde maslahi ya pamoja, na tumairishe usalama na uthabiti wetu."

Mgombea huyo wa uchaguzi wa rais nchini Iran amesisitiza kwa kusema: Tunapasa kuungana dhidi ya maadui, na tushirikiane katika kuwahami wananchi madhulumu wa Palestina na watu wa Gaza, na tuunde ustaarabu mpya wa Kiislamu, na tuhuishe izza ya mataifa ya Kiislamu.

Wagombea wa kiti cha rais nchini Iran wameanza kubainisha mipango yao kuhusu ustawi wa nchi huku kampeni za uchaguzi zikianza kushika kasi..
Wagombea sita wameidhinishwa na Baraza la Kulinda Katiba kuwania urais katika uchaguzi wa rais wa kabla ya wakati uliopangwa kufanyika Juni 28.

Kura hiyo iliitishwa baada ya Rais Ebrahim Raisi kufa shahidi akiwa na watu wengine saba mnamo Mei 19, wakati helikopta iliyokuwa imewabeba ilipoanguka katika mkoa wa Azerbaija Mashariki, eneo la milima la kaskazini-magharibi mwa Iran huku kukiwa na hali ya ukungu.
1718210876941.png
 
Mmoja wa wagombea wa urais nchini Iran ametoa mwito kwa Waislamu kuwa na umoja na mshikamano katika kulitetea taifa madhulumu la Palestina, hasa wakazi wa Ukanda wa Gaza wanaokabiliwa na mashambulizi ya kikatili ya utawala wa Kizayuni wa Israel tokea Oktoba mwaka jana 2023.

Mostafa Pourmohammadi ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Waziri wa Sheria hapa nchini ametoa mwito huo katika mahojiano na kanali ya televisheni ya al-Jazeera ya Qatar na kuongeza kuwa, kuna haja ya kuundwa ustaarabu mpya wa Kiislamu na kuhuisha hadhi na izza ya umma wa Kiislamu.

Pourmohammadi ameeleza bayana kuwa, "Tuunganeni ili kulinda haki zetu sisi kwa sisi na kuimarisha uhusiano wetu, tuunde maslahi ya pamoja, na tumairishe usalama na uthabiti wetu."

Mgombea huyo wa uchaguzi wa rais nchini Iran amesisitiza kwa kusema: Tunapasa kuungana dhidi ya maadui, na tushirikiane katika kuwahami wananchi madhulumu wa Palestina na watu wa Gaza, na tuunde ustaarabu mpya wa Kiislamu, na tuhuishe izza ya mataifa ya Kiislamu.

Wagombea wa kiti cha rais nchini Iran wameanza kubainisha mipango yao kuhusu ustawi wa nchi huku kampeni za uchaguzi zikianza kushika kasi..
Wagombea sita wameidhinishwa na Baraza la Kulinda Katiba kuwania urais katika uchaguzi wa rais wa kabla ya wakati uliopangwa kufanyika Juni 28.

Kura hiyo iliitishwa baada ya Rais Ebrahim Raisi kufa shahidi akiwa na watu wengine saba mnamo Mei 19, wakati helikopta iliyokuwa imewabeba ilipoanguka katika mkoa wa Azerbaija Mashariki, eneo la milima la kaskazini-magharibi mwa Iran huku kukiwa na hali ya ukungu. View attachment 3015762
Hamas si wameshinda vita au
 
Kosa la hamas hawalijui. Yaan ni kama vile wamechanganyikiwa
 
Waislam Sunni wanasema watu wa Iran sio Waislam sasa yeye anajiitaje muislam wakati ni Pagan
 
Kumbe na Waislamu ni kama Wafuasi wa Yesu, wapo Waoanaosema dini yao ni ya kwanza, mara wao ndio bora kuliko wengine , mara sijui Paulo ndio aliweka msingi wa kanisa lao, dah!
 
Mmoja wa wagombea wa urais nchini Iran ametoa mwito kwa Waislamu kuwa na umoja na mshikamano katika kulitetea taifa madhulumu la Palestina, hasa wakazi wa Ukanda wa Gaza wanaokabiliwa na mashambulizi ya kikatili ya utawala wa Kizayuni wa Israel tokea Oktoba mwaka jana 2023.

Mostafa Pourmohammadi ambaye amewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani na Waziri wa Sheria hapa nchini ametoa mwito huo katika mahojiano na kanali ya televisheni ya al-Jazeera ya Qatar na kuongeza kuwa, kuna haja ya kuundwa ustaarabu mpya wa Kiislamu na kuhuisha hadhi na izza ya umma wa Kiislamu.

Pourmohammadi ameeleza bayana kuwa, "Tuunganeni ili kulinda haki zetu sisi kwa sisi na kuimarisha uhusiano wetu, tuunde maslahi ya pamoja, na tumairishe usalama na uthabiti wetu."

Mgombea huyo wa uchaguzi wa rais nchini Iran amesisitiza kwa kusema: Tunapasa kuungana dhidi ya maadui, na tushirikiane katika kuwahami wananchi madhulumu wa Palestina na watu wa Gaza, na tuunde ustaarabu mpya wa Kiislamu, na tuhuishe izza ya mataifa ya Kiislamu.

Wagombea wa kiti cha rais nchini Iran wameanza kubainisha mipango yao kuhusu ustawi wa nchi huku kampeni za uchaguzi zikianza kushika kasi..
Wagombea sita wameidhinishwa na Baraza la Kulinda Katiba kuwania urais katika uchaguzi wa rais wa kabla ya wakati uliopangwa kufanyika Juni 28.

Kura hiyo iliitishwa baada ya Rais Ebrahim Raisi kufa shahidi akiwa na watu wengine saba mnamo Mei 19, wakati helikopta iliyokuwa imewabeba ilipoanguka katika mkoa wa Azerbaija Mashariki, eneo la milima la kaskazini-magharibi mwa Iran huku kukiwa na hali ya ukungu. View attachment 3015762
Waislamu popote walipo funiani ni shida tu kwa jamii nyingine. Hiyo yote ni kwa sababu Quran ndiyo chanzo cha chuki. Tulijua kuwa wanaowafundisha watoto wao ugaidi ni wapalestina tu, kumbe ni waislamu wote. Ona hawa hapa chini

View: https://x.com/raviagrawal3/status/1801210124515868993
 
Back
Top Bottom