Elections 2015 Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli


Teh Teh Escrow Queen
 
..Magufuli keshafeli ktk mtihani wa diplomasia.

..ile kauli yake kwamba tusifanye makosa kama yaliyofanywa na Zaire, Iraq, Libya, etc siyo sahihi kidiplomasia.

..ikiwa atafanikiwa kuwa Raisi, washauri wake watakuwa na wakati mgumu sana kuhakikisha hatoi kauli zinazoweza kutuingiza ktk mizozo ya kidiplomasia na mataifa mengine.

..mtu anapokuwa Raisi anapaswa kuwa makini na kauli zake. sasa nadhani so far Magufuli ameonyesha upungufu mkubwa ktk eneo hilo.

cc MK254, Geza Ulole
 
Last edited by a moderator:
Kumbe ni keeling wale wanaosema Kuwa elimu yetu imeshuka Kama si ushabiki yaliyo stemware na Magufuli ni sawa wala hakuna tafrani ya international relation. Kama ni ushabiki Lowasa Hafai
 
Wajameni uzi wangu huu bado uko valid kwa sababu zile sababu nilizo zisikia za why mgombea wa CCM ni Magufuli sijazitaja kwa sababu siziamini!. Kama kuna yeyote humu anayejua ilikuwaje akawa ni Magufuli naomba atudokeze vinginevyo itanilazimu nizitaje, na ikitokea zikawa ni kweli, then Magufuli atakuwa hatufai kabisa ni mtu wa kumuogopa kama ukoma!.
Pasco
 
Common sense ! Jamaa wamemweka kulinda maslahi yao. Ni mwepesi kuwa controlled. That is it Pasco
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Pasco, pole sana km hii kwako bado ni tip! Kumbe uko nyuma sn, hii ulikuwa confirmed tangu 2005 mara baada ya JK kuteuliwa kuwa mgombea, na yalikuwa ni mapendekezo ya che nkapa. Mi namuunga mkono, jamaa anafaa sn kwa hiyo nafasi.

we Noma mkuu,uko makini..jamaa anakimbiza huku
 

kashakua sawa,kula limao
 

kashakua sawa,kula limao mkuu
 
Then the momentum changed from the "hated one" to the "loved one".

Hapa naanza kuamini ile kauli ya membe

" watanzania ni watu wanaobadilika ......."-B.K.Membe.
 

Mkuu tumempata na nchi inasonga mbele
 
Pasco huwa anaahidi kutoa sababu,lakini anapiga kimya tunakumbuka uteuzi wa JPM kugombea kupitia CCM akaahidi tutajua sababu baada ya kuteuliwa lakini Mwisho wa siku hatukujua sababu.
Mkuu Mkwala, kanuni kuu na ya kwanza kabisa ya waandishi wa habari ni "Tell nothing but the truth", yaani kusema ukweli ndio jambo kuu la kwanza.

Hivyo ukisikia jambo fulani kuwa ni kweli limetokea, wewe usipoliamini, unashauriwa usiliandike!.

Hivyo hizo sababu kwa nini ni Magufuli na ni nani walioamua ni Magufuli, nilitajiwa, ila mimi mwenyewe siamini kuwa huo ndio ukweli wenyewe!, ndio maana nikashauri, amini kuwa nilisema ni Magufuli na kweli ikatokea tuu kuwa ni kweli ni Magufuli, just a coincidentally!.

Pasco
 
Pasco unazingua tumwagie sababu, sisi wagalatia tunataka kuzijua
 
Mkuu,popote ulipo..naomba ujitokeze na utoe maelezo kuhusu kitabu cha siri..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…