Elections 2015 Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli

Wanaosema JK hakumtaka Magufuli know nothing.

Magufuli alishachaguliwa na system kumrithi JK kitambo tu kabla JK hajastaafu.

Sasa kama JK alimclear, maana yake alimuendorse. Ukizingatia fact kuwa Usalama wa Taifa uko chini ya ofisi ya rais, basi JK lazima aliplay key role kuhakikisha jina la Magufuli linapenya mpaka mwisho!
 
Waafrica tulikutqna wapi na kukubaliana hivyo?

Mbona mimi Muafrika sikupata mualiko?

Acheni uzushi.

Magufuli alichagua mwenyewe uongozi wa umma, watu watamsema mpaka wachoke wenyewe.

Ni haki yao ya kikatiba.

Unataka kuwanyima haki yao ya kikatiba?

Mimi naanza kwa kusema Magufuli alikuwa mtu mmoja mbinafsi sana.

Alijijua ana matatizo ya moyo, kisha akagombea urais bila kuwaambia wananchi matatizo yake kwa uroho wake wa madaraka.

Matokeo yake kaweka rekodi ya kutufia akiwa raia.

Tukiwa wakweli na kusema mapungufu haya, inaweza kusaidia kama kuna mroho mwingine wa madaraka mwenye matatizo ya afya anayetaka kuwa rais afikirie mara mbili.
 

Heshima yako sana Chief @Britannica
 

...
 
Nyerere mpaka leo watu wanaandika vitabu na kumjadili.

Ukitaka uachwe usijadiliwe, usigombee uongozi wa umma.

Ukigombea uongozi wa umma watu watakujadili maelfu na maelfu ya miaka.
Akina HITLER ,STALIN,MOBUTU,IDDI AMIN Hadi kesho watajadiliwa seuzi mwendazake .

Huo ndio muendelezo wa udikteta uchwara Hadi wa wafuasi wake

Shida Sana yaani

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Hizo Mila zenu za kiafrika ndio zimetufikisha hapa na zimechangia pa kubwa Sana usimikaji wa utawala uoe kiimla .

Tutasema Kama yatupasa kusema Mila zenu mnazotaka tuzizingatie Ni outdated version.

Bila chembe ya unafiki tutasema ukweli daima

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
Unabii umetimia.Watanzania tumeshuhudia ukuu wa Mungu kupitia mtumishi wake Magufuli.Wenye macho tuneona.Wenye masikio tumesikia.Bwana ametoa.Bwana ametwaa.Jina lake lihimidiwe.Amina
 
the reasons behind, sababu alizonitajia kada huyu za why mgombea wa CCM mwakani ni Magufuli, ambazo ndizo zimepelekea the inner core ya CCM kuamua mgombea wake wa urais wa 2015 ni lazima awe John Pombe Magufuli tuu, and no one else!.
Mkuu Arovera, karibu mitaa hii, utayapata baadhi ya majibu ya maswali yako.
P
 
Lengo la Inner circle ya ccm kumleta jpm ilikuwa ni kuharibu,kuvuruga kabisa nchi na watu wake ili watz tukumbuke Zile tawala za nyuma ambazo tuliziita Dhaifu!!Pia lengo lilikuwa kuua upinzani ambao ulikita mizizi sana awamu ya nne!!Ilibidi kichaa apewe rungu ili avuruge mambo yote tupate hamu ya ccm ya wastaafu!!wastaafu walitaka kujisafisha kwa kutuletea mtu mbaya aliekata tamaa ambae hakuwa na la kupoteza kwani tayari alijua hana maisha marefu!!Rip jpm!!!
 
Wanabodi,

Leo nimekutana na rafiki yangu wa siku nyingi akanieleza seriously kuwa imeishaamuliwa (sitaji imeamuliwa na nani), kuwa mgombea wa urais wa mwaka 2015 kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi-CCM ni Mhe. John Pombe Magufuli!.

Paskali
Mkuu Nzwangendaba, kwanza hongera kwa jina zuri, linafanana na yule kiongozi wa Wangoni kutoka Africa Kusini kuja kuhamia Tanzania, Zongendamba.

Karibu mitaa hii, angalia tuu tarehe ya bandiko ni la lini na nini kilikuja kutokea.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…