Kosa langu kuu ni kuwa mkweli kupindukia, ibara ya 21 ya katiba imetoa haki kwa kila Mtanzania kugombea, ila katiba yetu imenajisiwa kwa kuchomekewa kifungu batili cha kulazimisha wagombea wadhaminiwe na chama cha siasa, na uchomekeaji huo umefanywa kiubatili, hivyo kulazimisha ili mtu ugombee, lazima udhaminiwe na chama cha siasa, wenye chama chao, wanakuona wewe sio mwenzao.Halafu ety ulitegemea upate tiketi ya kugombea ubunge chini ya magufuli na wazi huku ulishamkataa
Nilifikiria sana tuu, na sikutoa kwa wajumbe hata senti tano, ila niliwaahidi mgao wa 10M kila kata!, haikusaidia kitu.Hukufikiria vizuri hapa ndo ukaangukia kwa wajumbe
Mtu kuwa rais ni kibali, ukikitumia vibaya kibali chako, kinafutwa!, ni kweli hizo sababu, pia ndio zimepelekea kibali chake kikafutwa!, Bwana alitoa, Bwana akatwaa, Jina lake lihimidiwe!.Kwa vile sababu hizo alizonitajia, baadhi kweli ni sababu za msingi na ziko justifiable kwa any reasonable man, sababu nyingine alizonitajia sio tuu ni unreasonable, bali pia ni unjustifiable! na hazikubaliki kabisa katika "Tanzania ya leo!"
mkuu pasco, huwenda ndio maana ilibidi aondoke kuipisha "Tanzania ya leo?"
Pascal Mayalla
Hahaha eti fisadiTena ni fisadi mkubwa, alikuwa mstari wa mbele akishirikiana na fisadi Mkapa katika ukwapuzi wa nyumba zenye thamani zaidi ya trillion za Serikali....Hafai kabisa huyu fisadi.
TruePaskali unajuwa watu tuna akili timamu, hii thread yako umeifanyia updates baada ya utabiri wako kukamilika na umesisitiza ni just coincedence tu lakini si kweli.
No sababu zilizonifanya kutozitaja mwanzo ni kwasababu nilikuwa ziziamini!, ila baada ya kutokea kweli, sikuhitaji tena kuzitaja maana haisaidii kitu, limeisha kuwa!. Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele ‘Maslahi ya Taifa’?Magufuli ameshakwenda, najuwa uliogopa kuzitaja sababu akiwa hai jamaa alikuwa hatabiriki,
Kama kuna kitu kibaya kumhususasa kuna mawili, either uandike kitabu sababu ziwe classified kwenye kitabu
Imeisha hii!. Si lazima kila Ukweli usemwe, ukweli mwingine is FYE only! Uzalendo wa kweli ni pamoja kuwa na Kabbah, unahifadhi ukweli kifuani mwako, unakufa naoau vunja ukimya eleza ukweli, ulichokuwa unakiogopa ni irrelevant kwa sasa Magufuli is dead and buried.
Nimeusoma uzi wako kwa makini sana leo kutwa nzima .True
No sababu zilizonifanya kutozitaja mwanzo ni kwasababu nilikuwa ziziamini!, ila baada ya kutokea kweli, sikuhitaji tena kuzitaja maana haisaidii kitu, limeisha kuwa!. Swali la Morality: Je, ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele ‘Maslahi ya Taifa’?
Kama kuna kitu kibaya kumhusu
mtu fulani, ukaamua usikiseme wakati akiwa hai, akitangulia mbele ya haki, usikiseme tena!. Hivyo mimi sio EK niandike mambo ya marehemu, mtu ambaye hawezi kujitetea!.
Imeisha hii!. Si lazima kila Ukweli usemwe, ukweli mwingine is FYE only! Uzalendo wa kweli ni pamoja kuwa na Kabbah, unahifadhi ukweli kifuani mwako, unakufa nao
P
Asante sana.Nimeusoma uzi wako kwa makini sana leo kutwa nzima .
Hakika JF ni JF
Long live mr P , Pascal Mayalla
Nilipokuwa mdogo i used to watch you kwenye maonesho ya sabasaba n.k
Hongera sana.
Kama bado unania ya kugombea ubunge jaribu tena this time naimani utafanikiwa 🙏
🙏🤝🤝Asante sana.
P
Safiidah mtu wa jikoni kabisa huyu
Watanzania wengi wana uwezo finyu wa kusoma na kuelewa, katika uzi huu, nimesema wazi kuwa nimeshikwa sikio na mtu wa jikoni, wewe unadhani huyo mtu wa jikoni ni mimi, mimi sio mtu wa huko!.dah mtu wa jikoni kabisa huyu
Mkubwa ukipiga "Tochi" unaona nini mbele?Watanzania wengi wana uwezo finyu wa kusoma na kuelewa, katika uzi huu, nimesema wazi kuwa nimeshikwa sikio na mtu wa jikoni, wewe unadhani huyo mtu wa jikoni ni mimi, mimi sio mtu wa huko!.
P
RIP Shujaa JPM, its five years now, bado tunakukumbuka na Watanzania, wanakukumbuka.Wanabodi,
Leo nimekutana na rafiki yangu wa siku nyingi tuliyepotezana naye kipindi kirefu nyuma, ambaye nahisi ni mtu wa sehemu na wa kuaminika sana ambaye yuko attached CCM kama mmja wa makatibu wa CCM kama kada tuu wa kawaida wa Chama cha Mapinduzi-CCM, akanieleza kuwa eti imeishaamuliwa (sitaji imeamuliwa na nani), kuwa mgombea wa urais wa mwaka 2015 kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi-CCM ni Mhe. John Pombe Magufuli!.
Paskali
Update: 12/07/2015
Leo hili limetimia ni kweli aliyepita ni Magufuli, nimezitafakari sababu nilizotajiwa ile siku napewa tetesi hii, na kuzipima na hiki kilichotokea, nimejikuta nimelazimika kutoziamini kuwa zile nilizosikia ndizo sababu zenyewe halisi.
Hongera sana Dr. John Pombe Joseph Magufuli kwa kuteuliwa kuwa mgombea urais wa Chama cha Mapinduzi, CCM.
Paskali
Mkuu Marikosti,@marcostilone, angalia tarehe ya bandiko hiliCha msingi cha kukumbuka ni kwamba historia ya siasa za Tanzania haijawahi kufuata formula ya hisabati. Huwa highly unpredictable. Kumbuka jinsi Magufuli alivyotokea upande ambao hakuna mtu aliyetarajia mwaka 2015,
Wanabodi,
Leo nimekutana na rafiki yangu wa siku nyingi tuliyepotezana naye kipindi kirefu nyuma, ambaye nahisi ni mtu wa sehemu na wa kuaminika sana ambaye yuko attached CCM kama mmja wa makatibu wa CCM kama kada tuu wa kawaida wa Chama cha Mapinduzi-CCM, akanieleza seriously kuwa eti imeishaamuliwa (sitaji imeamuliwa na nani), kuwa mgombea wa urais wa mwaka 2015 kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi-CCM ni Mhe. John Pombe Magufuli!
Kwa vile sababu hizo alizonitajia, baadhi kweli ni sababu za msingi na ziko justifiable kwa any reasonable man, sababu nyingine alizonitajia sio tuu ni unreasonable, bali pia ni unjustifiable! na hazikubaliki kabisa katika Tanzania ya leo!.
, then nitaziweka hadharani hizo sababu za kwa nini CCM imeamua mgombea wake wa urais kwa uchaguzi wa 2015 lazima awe ni John Pombe Magufuli tuu na sio mtu mwingine yoyote!, na kiukweli mkizisikia hizo sababu nilizotajiwa, naamini hata nyinyi sio tuu mtashangaa, bali mtakubaliana na mimi kwanini mtu huyu asiwe!.
Hili la kuamua ni Magufuli, limenistua kidogo kwa sababu kwa sisi tunaomjua asili yake halisi na tuliomfuatilia utendaji kazi wake kwa kauli na matendo tangu akiwa waziri, japo kiukweli ni mchapa kazi, yaani hili ni jembe kazi la ukweli, lakini mtu huyu ameonyesha wazi sio mzuri sana in terms of stability in decision making!, amefanya baadhi ya maamuzi mengi tuu kwa jazba, pupa, papara na kukurupuka kwa mtindo wa nimeamua mimi na liwalo liwe!, mwisho wa siku baadhi ya maamuzi yake ambayo mengine ni very rational yanakuja kutu cost sisi kama taifa,
Paskali
Mkuu Labirinyi, Labyrinth 84 , karibu kwenye moja ya hizo lost bet hapa angalia tuu tarehe ya bandikoUnaleta mambo ya voices from within, haya haya mavoices yako
Achana na voices within kwenye mambo yanayohitaji majibu ya msingi. A voices within zako zote ni lost bet.