Mgombea wa Urais wetu kutoka TLP

Kama TLP wameona huyo anafaa na wamemuwasilisha yeye atafanyaje?
 
Maigizo yanazidi kuborongwa kama bongo movie. Director hana experience.

Mgombea amesawajika kweRi kweRi, anahitaji maombi na kunyweshwa uji angalau sura ipate nuru.
 
Ni kwanini CCM inafanya mambo ya namna hii?nchi nzima imemkataa Samia kwann hawalioni hili?ni kiburi cha aina gani hiki?
 
Huu mzaa mnaofanya CCM mtatumbua usaha wala sio mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…