Huu ni ushauri kwa Wogombea wote. Kama unaona hupendwi na wananchi soma alama za nyakati na usilazimishe. Wengi wa wagombea hasa kwenye nafasi za Udiwani, Ubunge nakadhalika wanalazimisha wapendwe na wananchi ilihali wananchi hawataki.
someni alama za nyakati na wananchi ndiyo wenye sauti na uamuzi.
someni alama za nyakati na wananchi ndiyo wenye sauti na uamuzi.