Acha walazimishe litakalowakuta wasije kulaumu watu. Urais siyo.nafasi ya kuchezea chezea tumeshaapa lazima liwakute jamboHuu ni ushauri kwa Wogombea wote. Kama unaona hupendwi na wananchi soma alama za nyakati na usilazimishe. Wengi wa wagombea hasa kwenye nafasi za Udiwani, Ubunge nakadhalika wanalazimisha wapendwe na wananchi ilihali wananchi hawataki.
someni alama za nyakati na wananchi ndiyo wenye sauti na uamuzi.
Samaki huoza kuanzia kichwaninafasi za Udiwani, Ubunge nakadhalika
Wewe na naniSisi tunampenda SAMIA
Familia yangu yote..Wewe na nani
Unadhani hawafahamu..ni KIBURI na DHARAU tu kwetu ..sijui wanatuonaje hawa Wafilisti?Kwenye hii nchi kura ya mwananchi Haina nguvu kabisa, uwizi wa kura umeshamiri
Wanatuona kama mazezeta ujueUnadhani hawafahamu..ni KIBURI na DHARAU tu kwetu ..sijui wanatuonaje hawa Wafilisti?
watu hawajataja jina, ndio huyo hatakiwi/hapendwiSisi tunampenda SAMIA
Hapo sawa wengine sie tutabaki home hatutikiFamilia yangu yote..
Chadema 7 wa jf sio kipimo Cha wananchi. Wananchi ni wale wanaoshukuru na kukuombea Mungu kule vijijini baada ya kiwaondolea kero za maji, barabara, elimu na afya.Huu ni ushauri kwa Wogombea wote. Kama unaona hupendwi na wananchi soma alama za nyakati na usilazimishe. Wengi wa wagombea hasa kwenye nafasi za Udiwani, Ubunge nakadhalika wanalazimisha wapendwe na wananchi ilihali wananchi hawataki.
someni alama za nyakati na wananchi ndiyo wenye sauti na uamuzi.
Afadhali utuepushie shombo la kikwapa sie watikaji.Hapo sawa wengine sie tutabaki home hatutiki
Shombo unalo ww Malaya nnAfadhali utuepushie shombo la kikwapa sie watikaji.