Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Wazee.KAMA WAMEZEEKA KWA NINI WALISAJILIWA.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazee.KAMA WAMEZEEKA KWA NINI WALISAJILIWA.
Unafuata nyayo za Genta halafu baadae unamtukanaAsante sana Mchezaji mwandamizi wa Simba sc uliyenipenyezea hii taarifa na kunisihi sana nisije kuweka wazi jina lako.
NALIA NGWENA nakuahidi sitoweka jina lako hadharani kwa hizi taarifa muhimu na kuntu ulizonipenyezea hakika wewe ni chanzo changu makini na hujawahi kunidanganya.
Sababu ya wachezaji kugoma /kuweka mgomo baridi kutoka kwenye chanzo changu Cha ndani ni kuwa wachezaji waliahidiwa bonuses kubwa kama ulivyo utamaduni wetu katika timu zetu kuziahidi mazuri timu haswa pale zinapokutana na Timu za kimataifa au Derby ndani ya ligi.
Viongozi wa Simba sc waliwaahidi wachezaji bonasi katika michuano ya AFL haswa pale watapo funga walau hata magoli na kucheza vizuri Cha ajabu wachezaji wamecheza na kufunga magoli lakini bonasi walizoahidiwa hawajaona hata moja /zimepotelea mitini na viongozi wapo kimya Kama vile hawakutoa ahadi hiyo.
Sasa wachezaji wameanzisha mgomo baridi, na kweli katika jicho la kiufundi wa mpira ukitazama wachezaji wanavyocheza Ni tofauti kabisa na wale waliocheza katika michuano ya AFL.
Kudroo na Namungo tunaweza kusema ni uchovu wa Derby maana hata mpinzani wao Yanga alipata point tatu kwa tabu sana.
Mechi ya Asec Mimosa imenifanya nijithibitishie kuwa wachezaji Wana mgomo baridi na huu mgomo utakwisha endapo watapewa bonasi zao.
Nawasilisha taarifa.
Hakuna cha mgomo wala nini, ule ndio uwezo waoAsante sana Mchezaji mwandamizi wa Simba sc uliyenipenyezea hii taarifa na kunisihi sana nisije kuweka wazi jina lako.
NALIA NGWENA nakuahidi sitoweka jina lako hadharani kwa hizi taarifa muhimu na kuntu ulizonipenyezea hakika wewe ni chanzo changu makini na hujawahi kunidanganya.
Sababu ya wachezaji kugoma /kuweka mgomo baridi kutoka kwenye chanzo changu Cha ndani ni kuwa wachezaji waliahidiwa bonuses kubwa kama ulivyo utamaduni wetu katika timu zetu kuziahidi mazuri timu haswa pale zinapokutana na Timu za kimataifa au Derby ndani ya ligi.
Viongozi wa Simba sc waliwaahidi wachezaji bonasi katika michuano ya AFL haswa pale watapo funga walau hata magoli na kucheza vizuri Cha ajabu wachezaji wamecheza na kufunga magoli lakini bonasi walizoahidiwa hawajaona hata moja /zimepotelea mitini na viongozi wapo kimya Kama vile hawakutoa ahadi hiyo.
Sasa wachezaji wameanzisha mgomo baridi, na kweli katika jicho la kiufundi wa mpira ukitazama wachezaji wanavyocheza Ni tofauti kabisa na wale waliocheza katika michuano ya AFL.
Kudroo na Namungo tunaweza kusema ni uchovu wa Derby maana hata mpinzani wao Yanga alipata point tatu kwa tabu sana.
Mechi ya Asec Mimosa imenifanya nijithibitishie kuwa wachezaji Wana mgomo baridi na huu mgomo utakwisha endapo watapewa bonasi zao.
Nawasilisha taarifa.
Naunga mkono hojaKIONGOZI UMEONGEA KWA UCHUNGU SANA.