10000 JF-Expert Member Joined Oct 18, 2013 Posts 822 Reaction score 747 Feb 16, 2014 #1 kuna taarifa kwamba chuo cha ualim Kleruu Iringa kimekatiwa umeme kwa majuma mawili, wanafunzi wamegoma na wale jamaa "wapigwe tu" wamefanya kazi yao, mlioko Iringa au mwenye taarifa kamili atujuze tafadhali.
kuna taarifa kwamba chuo cha ualim Kleruu Iringa kimekatiwa umeme kwa majuma mawili, wanafunzi wamegoma na wale jamaa "wapigwe tu" wamefanya kazi yao, mlioko Iringa au mwenye taarifa kamili atujuze tafadhali.