Mgomo Kleruu

Mgomo Kleruu

10000

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2013
Posts
822
Reaction score
747
kuna taarifa kwamba chuo cha ualim Kleruu Iringa kimekatiwa umeme kwa majuma mawili, wanafunzi wamegoma na wale jamaa "wapigwe tu" wamefanya kazi yao, mlioko Iringa au mwenye taarifa kamili atujuze tafadhali.
 
Back
Top Bottom