Mgomo mkubwa chuo kikuu cha udom kesho watangazwa

Mgomo mkubwa chuo kikuu cha udom kesho watangazwa

MKUU MATANGAZO YAMEWEKWA PANDE GANI MANAKE MIMI NIPO HAPA DODOMA KARIBU CHUO KIZIMA CHA EDUCATION HALIJAONEKANA TANGAZO HILO. AU UMETUMWA KUJA KUPIMA UPEPO? AU MMEYAWEKA KWENYE ROOM ZENU? VIJANA NENDENI KWA MKUU WA CHUO NI MSIKIVU MZURI TU AU KAMA HAKUNA MSAADA NJOONI TOWN P/MINISTER YUPO ATAWASIKILIZA KULIKO KUJIINGIZA KATIKA MIGOMO AMBAYO MWISHO WAKE BAADHI YENU MTAFUKUZWA BURE.
Angalia chuo umeenda mwenyewe na kwenu utarudi mwenyewe.
mimi nadhani wewe ndo umetumwa uwakashifu wanafunzi wa udom, unataka kuniambia mkuu wa chuo hana yaarifa na hali ya udom upande wa boom usikivu gani unao usema? na huko kwa pm wataenda kwa kibari cha nani? au bado hujui bureaucratic procrdures unjifanya unamsafisha mkuu wako kwa kumpaka mitope! kwan udom wanatofauti gani na udsm,sauti,na wengine?jitambue wewe ni nani na unafanya nini kwa faida yako na taifa, hayo ndo mawazo ya kutumika kwa vijana design yako. wasaidie kuyafita suluhu sio kuwatisha,unapenda wanavyokuwa na scandal za ngono?
 
kila siku migomo tu bila mafanilkio yoyote,kwani hakuna njia nyingine mmbadala ya kuifikishia ujumbe serikali? mbona hii migomo sioni matunda yake kabisa,mnagoma kuingia darasani sijui nani atakayeathirika kitaaluma,wenzenu wa vyuo vingine hasa private wako busy wanaconcetrate na masomo nyie mko oppiste kabisa,mnapoteza mda mwingi kuandaa migomo halafu kesho mnajinadi eti UDOM ni chuo bora,labda kama ni ubora na mijisifa ya migomo tena isiyo na matunda,mimi nawashauri kuandaa njia ambayo haitakuwa na madhara kwenye taaluma,kwa mfano mnaweza kuwatuma baadhi ya wakilishi wenu kwenye ofisi husika au hata kwa ikulu kwa mheshimiwa rais ili kupeleka malalamiko yenu
wape route sio kuzenguazengua tu bila sababu ya msingi. sema wafanye ndo wanaendelea kujiuza hivyo au inadhani wapo kwa mama wanaweza kupewa bure hapo? toa maoni lakoni na alternative muhimu ndugu
 
Back
Top Bottom