kila siku migomo tu bila mafanilkio yoyote,kwani hakuna njia nyingine mmbadala ya kuifikishia ujumbe serikali? mbona hii migomo sioni matunda yake kabisa,mnagoma kuingia darasani sijui nani atakayeathirika kitaaluma,wenzenu wa vyuo vingine hasa private wako busy wanaconcetrate na masomo nyie mko oppiste kabisa,mnapoteza mda mwingi kuandaa migomo halafu kesho mnajinadi eti UDOM ni chuo bora,labda kama ni ubora na mijisifa ya migomo tena isiyo na matunda,mimi nawashauri kuandaa njia ambayo haitakuwa na madhara kwenye taaluma,kwa mfano mnaweza kuwatuma baadhi ya wakilishi wenu kwenye ofisi husika au hata kwa ikulu kwa mheshimiwa rais ili kupeleka malalamiko yenu