Mgomo mkubwa UDSM.

Mgomo mkubwa UDSM.

gud. coet hata walimu hawjisumbui kuingia darasani. waliopo revo kuna jipya? :hat:
 
Hureeeeee! Hatimaye mkopo umeeleweka. Tayari watu wameshaanza kuuchukua.
 
Niko zangu hapa utawala nasubir kipenga kipulizwe tu nianze kukunjika.
 
Hali bado ni tete kwani utawala milango imefungwa hakuna kuingia wala kutoka sasa waandishi wa hbr wameingia
 
Hali bado ni tete kwani utawala milango imefungwa hakuna kuingia wala kutoka sasa waandishi wa hbr wameingia

uko wapi mkuu?
Niko hapa kwenye ngazi za jengo B juu ya notice board.
 
Wadau waliopewa sunspension wamekuja hapa.
Wameshangiliwa kama mashujaa...
Inaleta raha jameni!
 
Hureeeeee! Hatimaye mkopo umeeleweka. Tayari watu wameshaanza kuuchukua.

ongo wewe!
Wanaopewa pesa ni mwaka wa kwanza, tena mkononi. Muamala bado kusomeka...
By then watu wamesema boom II litakuwa ni nauli ya kuendea makwao!
 
ongo wewe!
Wanaopewa pesa ni mwaka wa kwanza, tena mkononi. Muamala bado kusomeka...
By then watu wamesema boom II litakuwa ni nauli ya kuendea makwao!

mimi nipo mwaka wa kwanza. Na tayari tumeshaanza kupewa.
 
Hiki chuo vipi?mpaka wanafunzi wakasirike ndo wanapewa pesa zao?
 
mabadiliko na haki haviji kirahisi. endelezeni mapambano
 
Hiki chuo vipi?mpaka wanafunzi wakasirike ndo wanapewa pesa zao?

we acha tu. Kumbe tangu tarehe 7 walipewa pesa na bodi ya mkopo ili watuwekee, kumbe wamezibinya wanatupatia leo huku tunagoma.
 
kumbe!
Wewe ulikuwa unataka pesa tu, unafahamu ajenda za kunji?

nipo kwenye eneo. Ninataka haki za wenzangu zipatikane. Kuhusu mkopo kimeeleweka. Bado haki za wenzangu.
 
nipo kwenye eneo. Ninataka haki za wenzangu zipatikane. Kuhusu mkopo kimeeleweka. Bado haki za wenzangu.

nyie mlopewa mkononi tayari. Sie continuous muamala haujasoma bado.
 
Back
Top Bottom