muda wowote kuanzia sasa, kutafanyika mgomo na maandamano makubwa kwa wanafunzi wa BAED
Yes, RUCO kwa sasa inajitegemea, siyo college ya SAUT tena. Kimebadili jina kinaitwa Ruaha Catholic University.
sasa mnaandamana dhidi ya bodi au chuo?
maana chuo hakihusiki na mambo ya mikopo.

chuo kingekua hakihusu Afisa wa bodi ya mikopo aliyepo kila chuo ana kazi gani?na wazir wa mikopo kila chuo kutoka serikal ya wanafunzi bc nae ni wa nn,,, tunajua chuo hakitoi pesa,, ila chuo kina wajibu wa kuhakikisha wanafunzi wake wanapata pesa kwa wakati