2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,130
- 4,735
Yani nimetoka nyumbani kufufuata mahitaji yangu soko la Mbagala hakuna biashara zaidi ya wamachinga.
Mbagala biashara zote nafaka, elektroniki madukaa mengine yote yamefunga.
Madhara kwa wote
Wafanyakazi, bodaboda, bajaji, guta(toyo) wasukuma mikokoteni, na watu mbalimbali hawana cha kuingiza na litayumbisha uchumi wa kila mtu.
Serikali ikae chini na wafanyabiashara maana waathirika ni wengi sio wafanyabiashara tu. Kwa mfano yale maduka madogo madogo ya mtaani hayataoata huduma ikiwa ya jumla yamefungwa.