Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Kama PM ameenda kuongea na nyie wafanyabiashara na mkaahidi kufungua maduka, Leo mnakusanyanya makundi kwa makundi kuhamasisha wapenda aman wasifungue maduka na atakayefungua atakiona cha moto, ni sawa na uhujumu uchumi.
Serikali ichukue hatua, hawa watu wakat wa Magufuli walinywea iweje ss hv wamerudi kwa kasi ya ajabu kufanya migomo ya kijinga namna hii, intellejinsia iwakamate wale bigwigs iwafungulie kesi za uhujumu uchumi, huko tulishavuka zamani.