Mgomo unaoendelea Kariakoo ni economic sabotage

Mgomo unaoendelea Kariakoo ni economic sabotage

Kwani ile style yetu ya kumshughulikia mkuu wa msafara wa kenge siku hizi haipo?
Ashikwe katibu, mwenyekiti na wasaidizi wao kisha waokotwe porini bila macho wakiwa mauti.
Kariakoo uhuni ni mwingi, wafanyabiashara wengi wanahujumu uchumi
 
Kodi ipo kwa mujibu wa sheria za nchi zilizopitishwa na bunge na watendaji wanafuata kanuni miongozo na taratibu zinazotungwa na kupitishwa na Serikali, kuwalaumu na kuwashutumu si sawa hata kidogo!

Hata hivyo kama leo Serikali itaendekeza mgomo huu na kuwakubalia matakwa yao wafanyabiashara hasa wa Kariakoo ambao wengi wao wanauza mali zilizopatikana kinyume na utaratibu wa kikodi basi Serikali ifute TRA na kusiwepo kodi yoyote nchini, pili kama kodi itakuwepo basi wafanyabiashara ndio wajikadilie na kuamua kiasi gani watalipa au wasilipe kabisa.

Wakati huohuo tuwe tayari kukubaliana na upinzani kwa kila wizara na idara maana leo ni mgomo wa kupinga TRA kesho tutapinga Polisi, keshokutwa sheria za mazingira, uhamiaji, hifadhi, afya nk nk.

Rais kama utakubaliana na mtindo huu wa kila mwenye takwa lake lipite hata kama linakiuka sheria tambua malengo yako ya kuendesha nchi yatakwama.
 
Kama PM ameenda kuongea na nyie wafanyabiashara na mkaahidi kufungua maduka, Leo mnakusanyanya makundi kwa makundi kuhamasisha wapenda aman wasifungue maduka na atakayefungua atakiona cha moto, ni sawa na uhujumu uchumi.

Serikali ichukue hatua, hawa watu wakat wa Magufuli walinywea iweje ss hv wamerudi kwa kasi ya ajabu kufanya migomo ya kijinga namna hii, intellejinsia iwakamate wale bigwigs iwafungulie kesi za uhujumu uchumi, huko tulishavuka zamani
 
Kabisa

Wanafanya mambo ya kijinga sana
 
baadae atatafutwa mbuzi wa kafara
Baadae tena? Kuna watu wameshindwa kufanyia uchambuzi yakinifu ripoti[kama zipo] za madhara yanayoweza kutokana na Mgomo kama huo, tena ikiwa walitangaza mapema. Mfano:huko nyuma au hata hii majuzi ACT na maandamano yao, vyombo husika vilitoa sababu za Kwanini wanaona maandamano hayo yawe Limited au Kukatazwa kijumla. Ikiwa ina maana wapo wanaopitia Scenarios za yatakayojiri au la....na kutoa tathmini kwa wenye mamlaka ya kukubali au kukataa n.k ikiwepo kutatokea maandamano au migomo.

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa lazima watakuwa na vitengo idara inayoshugulikia masuala kama hayo. Isitoshe Mkuu wa baraza la Usalama la mkoa inadondokea humo Inaovyoonekana kuna utitiri wa failures sehemu nyingi aidha kwa uwoga au upuuzi wa makusudi au wa kuhadaiwa na mpango kabambe wa watia mgomo, aisee lazima watu wawajibishwe. Naamini kuna mkono mrefu huko. Kwa hayo machache.

Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom