Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Kama utakua sio mwajiliwa mwenye mshahara wa tgsb basi unaishi kwa shemeji yako huna biashara yeyote hulipi hata bili ya maji, kwa mtu anayeuza hata maji na sigara za kutembeza asingeandika upumbavu huu.Kama PM ameenda kuongea na nyie wafanyabiashara na mkaahidi kufungua maduka, Leo mnakusanyanya makundi kwa makundi kuhamasisha wapenda aman wasifungue maduka na atakayefungua atakiona cha moto, ni sawa na uhujumu uchumi.
Serikali ichukue hatua, hawa watu wakat wa Magufuli walinywea iweje ss hv wamerudi kwa kasi ya ajabu kufanya migomo ya kijinga namna hii, intellejinsia iwakamate wale bigwigs iwafungulie kesi za uhujumu uchumi, huko tulishavuka zamani
nakuona magufuli unakazia pale uliposhia, mabavu nguvu na chuki sio njia nzuri kama taifaKama PM ameenda kuongea na nyie wafanyabiashara na mkaahidi kufungua maduka, Leo mnakusanyanya makundi kwa makundi kuhamasisha wapenda aman wasifungue maduka na atakayefungua atakiona cha moto, ni sawa na uhujumu uchumi.
Serikali ichukue hatua, hawa watu wakat wa Magufuli walinywea iweje ss hv wamerudi kwa kasi ya ajabu kufanya migomo ya kijinga namna hii, intellejinsia iwakamate wale bigwigs iwafungulie kesi za uhujumu uchumi, huko tulishavuka zamani
Anyakuliwe mmoja mmoja na kufichwa, ni dharau hiyo.Mkuu wa shughuli za Serikali Bungeni anaacha kazi anakuja mnaongea na mnahaidi kuendlea na majadiliano alafu mnamgeuka! Ni uhaini wa kiuchumi huo.
Kama kuna economic sabotage, serikali yenyewe ndiyo inajifanyia sabotage kwa kutofuata "The Arthur Laffer Curve" katika kodi.Kama PM ameenda kuongea na nyie wafanyabiashara na mkaahidi kufungua maduka, Leo mnakusanyanya makundi kwa makundi kuhamasisha wapenda aman wasifungue maduka na atakayefungua atakiona cha moto, ni sawa na uhujumu uchumi.
Serikali ichukue hatua, hawa watu wakat wa Magufuli walinywea iweje ss hv wamerudi kwa kasi ya ajabu kufanya migomo ya kijinga namna hii, intellejinsia iwakamate wale bigwigs iwafungulie kesi za uhujumu uchumi, huko tulishavuka zamani
Kipindi cha jpm taratibu za serekali zilikuwa zinafuatwa tofauti na sasa urasimu na rushwa vimeshika kasi.Kwani kwa magufuli kulikuwa na jambo gani mpaka watu wagome kufanya biashara!!!?? zile ni propaganda tuu za wahuni wachache.hakuna kipindi kilikuwa kizuri kufanya biashara kama kipindi cha jpm aswa kama ulikuwa ni mlipa kodi mzuri.
Yah right. Intelligence ya maPOLICCM ni kwa ajili ya wapinzani tu. Ilikuwa je washindwe kujua hili kabla.Kama PM ameenda kuongea na nyie wafanyabiashara na mkaahidi kufungua maduka, Leo mnakusanyanya makundi kwa makundi kuhamasisha wapenda aman wasifungue maduka na atakayefungua atakiona cha moto, ni sawa na uhujumu uchumi.