Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kama PM ameenda kuongea na nyie wafanyabiashara na mkaahidi kufungua maduka, Leo mnakusanyanya makundi kwa makundi kuhamasisha wapenda aman wasifungue maduka na atakayefungua atakiona cha moto, ni sawa na uhujumu uchumi.
Serikali ichukue hatua, hawa watu wakat wa Magufuli walinywea iweje ss hv wamerudi kwa kasi ya ajabu kufanya migomo ya kijinga namna hii, intellejinsia iwakamate wale bigwigs iwafungulie kesi za uhujumu uchumi, huko tulishavuka zamani

Baadae tena? Kuna watu wameshindwa kufanyia uchambuzi yakinifu ripoti[kama zipo] za madhara yanayoweza kutokana na Mgomo kama huo, tena ikiwa walitangaza mapema. Mfano:huko nyuma au hata hii majuzi ACT na maandamano yao, vyombo husika vilitoa sababu za Kwanini wanaona maandamano hayo yawe Limited au Kukatazwa kijumla. Ikiwa ina maana wapo wanaopitia Scenarios za yatakayojiri au la....na kutoa tathmini kwa wenye mamlaka ya kukubali au kukataa n.k ikiwepo kutatokea maandamano au migomo.baadae atatafutwa mbuzi wa kafara