Mgomo vocha za vodacom?shivacom

LeopoldByongje

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2008
Posts
372
Reaction score
13
Wadau. Shivacom na Alphatel ni wakala wa Vodacom. Kampuni za SHIVACOM na ALPHATEL zinatengeneza mamilioni ya shillingi kutokana na mauzo ya Vocha za Vodacom na bidhaa zinazohusika na simu za viganja. Ni ukweli uliowazi kuwa wamiliki wa Kampuni husika ndio waliobuni na wanaendesha dili ya kitapeli ya RICHMOND na DOWANS. Na hao si wengine ni Ristam Aziz na Edward Lowassa. Mtakumbuka mwishoni mwa mwaka jana Mtoto wa Lowassa alipokuwa anataka kununua nyumba huko uingereza; taarifa za kuhoji alivyopata pesa, taarifa rasmi kutoka Alphatel zilisema hiho kiasi cha pesa alizokuwanazozo mtoto wa lowassa ni haki yake kwani pesa hiyo ni kidogo sana kulingana na fedha wazotengeneza kila siku kupiti kampunu ya Alphatel. Wadau ifahamike kuwa wawili hao wawili na vikaragosi wao wanaendesha kampeni za kushika madaraka ya uongozi wa nchi mwaka 2015 ili wazidi kutupora mali zetu kiulaini. Hivi sasa Lowasa amejiweka nafasi nzuri kuukwaa uwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama na mambo ya nje. Sasa napendekeza tusiiendelee kuwatajirisha na hivyo kuwapa nguvu ya kifedha watakayoitumia kuiteka nchi. Tufanye Kampeini nchi nzima kwa kutumia nguvu ya Umma ya kuisusia bidhaa za SHIVACOM, ALPHATEL na VODACOM na washirika wao.
 
haojamaa ni wanahisa au ndio wamiliki wenyewe?tunataka tumjue owner,au kama wanahisa ni kwa asilimia ngapi,alafu utaona hatua tutakazochukua,hao ni wezi wakubwa wanataka kuimiliki hii nchi.tupe full detail ndugu.
 
nilitaka kulalamika lakini nilipoona hizi picha za maiti hawa sina haki ya kuwaamulia waZanzibari kwenye maamuzi yao












 
Will this say something today? So ile story ni kweli au?
 
Mara nyingi ukiona kitu chochote kimeandikwa kwenye JF basi ujue kina ukweli ndani yake. Hii issue ya ShivaCom imeanza zamani sasa ona matokeo yake leo.
 
mkuu uliona mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…