LeopoldByongje
JF-Expert Member
- Apr 28, 2008
- 372
- 13
Wadau. Shivacom na Alphatel ni wakala wa Vodacom. Kampuni za SHIVACOM na ALPHATEL zinatengeneza mamilioni ya shillingi kutokana na mauzo ya Vocha za Vodacom na bidhaa zinazohusika na simu za viganja. Ni ukweli uliowazi kuwa wamiliki wa Kampuni husika ndio waliobuni na wanaendesha dili ya kitapeli ya RICHMOND na DOWANS. Na hao si wengine ni Ristam Aziz na Edward Lowassa. Mtakumbuka mwishoni mwa mwaka jana Mtoto wa Lowassa alipokuwa anataka kununua nyumba huko uingereza; taarifa za kuhoji alivyopata pesa, taarifa rasmi kutoka Alphatel zilisema hiho kiasi cha pesa alizokuwanazozo mtoto wa lowassa ni haki yake kwani pesa hiyo ni kidogo sana kulingana na fedha wazotengeneza kila siku kupiti kampunu ya Alphatel. Wadau ifahamike kuwa wawili hao wawili na vikaragosi wao wanaendesha kampeni za kushika madaraka ya uongozi wa nchi mwaka 2015 ili wazidi kutupora mali zetu kiulaini. Hivi sasa Lowasa amejiweka nafasi nzuri kuukwaa uwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Ulinzi na Usalama na mambo ya nje. Sasa napendekeza tusiiendelee kuwatajirisha na hivyo kuwapa nguvu ya kifedha watakayoitumia kuiteka nchi. Tufanye Kampeini nchi nzima kwa kutumia nguvu ya Umma ya kuisusia bidhaa za SHIVACOM, ALPHATEL na VODACOM na washirika wao.