Mgomo vyuoni: Chuo cha st. John dodoma chafungwa

Mgomo vyuoni: Chuo cha st. John dodoma chafungwa

kibunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2010
Posts
403
Reaction score
52
Lile lindi la migomo vyuoni linaendelea. Leo chuo Kikuu cha St. Johns (zamnia Mazengo secondari) kimefungwa baada ya kuwa na mgomo baridi kwa muda sasa. Kimefungwa hadi tarehe 2/1/2012.

Source: ITV Breaking News!
 
Nadhani itakuwa ni likizo tu hiyo ya kiujanjaujanja, haiwezekani chuo kifungwe wiki mbili tu kwa ajili ya mgomo!!
 
  • Thanks
Reactions: GP
Hiyo ni likizo ya krismas na mwaka mpya! Siyo Mgomo huo!
 
Lile lindi la migomo vyuoni linaendelea. Leo chuo Kikuu cha St. Johns (zamnia Mazengo secondari) kimefungwa baada ya kuwa na mgomo baridi kwa muda sasa. Kimefungwa hadi tarehe 2/1/2012.

Source: ITV Breaking News!

acha utani wewe,tokea lini chuo kifungwe kwa muda wa wk 2 kisa mgomo? Kwa mgomo mnafunga kwa muda ucojulikana!Mi nadhani hiyo itakuwa likizo ya hizi ckukuu za x-mas na mwaka mpya.
 
Wameona wafunge 2 chuo!baada ya hilo sakata lakn kamgomo kenyw kadg!
 
Hawa hata wakigoma hawana impact yoyote kwa taifa.
 
ungependa kifungwe siku ngapi?

Ndo mara ya kwanza kusikia chuo kimefungwa kwa mgomo af mnaambiwa lini kinafunguliwa, kawaida huwa kinafungwa ila haijulikani muda wa kufunguliwa..
 
Back
Top Bottom