Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bodaboda agome?Bado nawaza siku hawa Maafisa (Bodaboda) nao wagome kama walivyofanya wafanyabiashara Kariakoo hali itakuaje?
Madai ya Maafisa;
1. Kamata kamata ya trafiki,
2. Bei ya mafuta kupanda,
3. Mikataba na wamiliki,
Nawashashauri watii sheria. Wasitoe site mirror, wawe na vibali vya kuendeshea (license) wasivae sandal, wawe na kofia ngumu, wasibebe mtu zaidi ya mmoja, wasivae kaptura, wasiovertake kushoto na mengine wanayopaswa kufanya halafu warudi kuwalaumu traffic wakiwakamata.Bado nawaza siku hawa Maafisa (Bodaboda) nao wagome kama walivyofanya wafanyabiashara Kariakoo hali itakuaje?
Madai ya Maafisa;
1. Kamata kamata ya trafiki,
2. Bei ya mafuta kupanda,
3. Mikataba na wamiliki,
Neno "afisa" lina maana ya mtu anayefanya kazi ya usimamizi, utawala, au uongozi katika taasisi au shirika fulani. Kwa mfano, afisa wa polisi, afisa mtendaji, au afisa elimu. Kwa kawaida, afisa ana majukumu ya kusimamia na kuhakikisha kuwa shughuli zinazoendeshwa katika sehemu yake ya kazi zinafanyika kwa ufanisi na kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizowekwa.Hao vijana wanaobeba abiria kwa kutumia piki piki ya matairi mawili wanajina lao la mtaani ambalo ni BODABODA kama ilivyozoeleka hawana huo u afisa.Bado nawaza siku hawa Maafisa (Bodaboda) nao wagome kama walivyofanya wafanyabiashara Kariakoo hali itakuaje?
Madai ya Maafisa;
1. Kamata kamata ya trafiki,
2. Bei ya mafuta kupanda,
3. Mikataba na wamiliki,
Bodaboda naye akiwa na pikipiki yake ni msimamizi, mtawala na kiongozi kwenye hiyo kazi yake. Acha ku-complicate maisha.Neno "afisa" lina maana ya mtu anayefanya kazi ya usimamizi, utawala, au uongozi katika taasisi au shirika fulani. Kwa mfano, afisa wa polisi, afisa mtendaji, au afisa elimu. Kwa kawaida, afisa ana majukumu ya kusimamia na kuhakikisha kuwa shughuli zinazoendeshwa katika sehemu yake ya kazi zinafanyika kwa ufanisi na kwa mujibu wa sheria na taratibu zilizowekwa.Hao vijana wanaobeba abiria kwa kutumia piki piki ya matairi mawili wanajina lao la mtaani ambalo ni BODABODA kama ilivyozoeleka hawana huo u afisa.
Hawana sababu za kugoma. Hizo ulizozitaja ni za kipuuzi. Pia wana njaa kali mno. Kugoma kwao ni kama kutaka tu kujiua. Wakigoma washtakiwe kwa kosa la kutaka kujiua.Bado nawaza siku hawa Maafisa (Bodaboda) nao wagome kama walivyofanya wafanyabiashara Kariakoo hali itakuaje?
Madai ya Maafisa;
1. Kamata kamata ya trafiki,
2. Bei ya mafuta kupanda,
3. Mikataba na wamiliki,
Wakiamua wanaweza lo