Mgomo wa mabasi umeathiri kuripoti kwa walimu

Mgomo wa mabasi umeathiri kuripoti kwa walimu

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Tangu jana kuna mgomo wa mabasi. Leo pia hapa Ubungo_mgomo unaendelea. Je wadau mnalionaje hili na kuripoti mwisho ni tar9????????
 
duh.. pole mdau.. vp ulipopangiwa usafiri wa treni haufiki..!? jaribu huo utaratibu
 
serikali iangalia kwa jicho la pli.
mana wengine ad tufike vituo tulivyopangiwe cku mbili za kulala njian cku ya tatu nafika kuripot so mgomo umeharibu kila kituuuuu
 
Shemeji tufikirie jamani
 
Back
Top Bottom