Mgomo wa Madaktari kenya

Mgomo wa Madaktari kenya

Askari Muoga

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Posts
6,113
Reaction score
4,658
Mgomo wa Madaktari unaendelea nchini kenya wakidai nyongeza ya Mishahara
1:zaidi ya Wagonjwa mia moja wa akili wametoroka
2:Mgonjwa mmoja amejinyonga kwa kukataa tamaa
ukija kufanya utafiti utagundua wa Afrika hatuna utu ya kushuhudia vifo vya wenzetu kisa kudai mishahara
[HASHTAG]#pray[/HASHTAG] for Kenya
[HASHTAG]#pray[/HASHTAG] for East Africa
[HASHTAG]#pray[/HASHTAG] for Patients
 
Back
Top Bottom