Huu mgomo wa magari jana uliathiri wakina Dada sana . Mmoja alitaka kupanda kwenye Gari na kukutana na kondakta mlangoni.
Kondakta. Hai bebi
Dada. Hi niambie
Kondakta. Hai bebi
Dada. We konda vip kwani kazi yako ni kusalimia watu huna kazi nyingine
Kondakta. Pumbavu wewe nakwambia gari Haibebi au umepagawa.