Mgomo wa waalimu wa Tanzania ni vigumu kufanikiwa, mwaka 2012!

Mgomo wa waalimu wa Tanzania ni vigumu kufanikiwa, mwaka 2012!

Emashi

Senior Member
Joined
May 24, 2012
Posts
138
Reaction score
26
Lakini, Sasa; umefika wakati wa waalimu kudai haki kwa Nguvu ya Pamoja. Bado nina mashaka kwa uwezo wa CWT kufanikisha mgomo huu.
Je! Ni nani aliye tayari kuwaunga mkono waalimu?

Na aseme sasa!
 
jana nilipata tarifa kwamba walimu wangegoma leo nikaamka saa kumi na mbili alurajili kununua magazeti ila cha kushangaza hakuna kitu yani nimeudhika sana
 
Lakini, Sasa; umefika wakati wa waalimu kudai haki kwa Nguvu ya Pamoja. Bado nina mashaka kwa uwezo wa CWT kufanikisha mgomo huu.
Je! Ni nani aliye tayari kuwaunga mkono waalimu?

Na aseme sasa!

Hawana umuhimu kwa jamii, hata kama wakigoma serikali itawafukuza na kuajili wengine. Na kibaya watapoteza mafao ambayo serikali itayafaidi kwa sababu ya ukata. Kama wewe ni mwl ujue huna dili wala serikali haiumizi kichwa kabisaa (maana uchaguzi ulishapita, na mwingine ni 2015, na kibaya rais siye huyu JK). Bora msigome, sikilizieni maumivu (huo ni wito)
 
Mgomo upo sana.Mimi tangu april sijafundisha lakini mshahara ninapata(mgomo baridi).Subiri zero za mwaka huu kidato cha nne.
 
Labda mgomo baridi,hakuna kufundisha wala nini,na ma2nda yatakuwa ni mazero ya f4 na kupata f1 wasiojua kuandika!
 
Labda mgomo baridi,hakuna kufundisha wala nini,na ma2nda yatakuwa ni mazero ya f4 na kupata f1 wasiojua kuandika!
Nawasikitikia wanafunzi endapo mpango huu utafanikiwa. Taifa linakwenda wapi sasa? Nani wa kulaumiwa?
 
Mgomo upo sana.Mimi tangu april sijafundisha lakini mshahara ninapata(mgomo baridi).Subiri zero za mwaka huu kidato cha nne.
Mbona unaandika kwa furaha kama vile huna wakusoma katika jamii yako! Naona tuishauri serikali izime mgomo huu kwa maslahi ya Wanafunzi walioko mashuleni kwa kipindi hiki kigumu. Lakini napendekeza kuwa badala ya kuzima mgomo huu kwa mabomu iuzime kwa mishahara juu juu zaidi kwa walimu wote hasa walimu wa kike au la samahani walimu wote!
 
:A S 465: :A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465: :A S 465:
:A S 465::A S 465:Nivigumu sana kwa walimu kugoma ,kwani kuna wanyonge weng sana na uoga wa maisha ndo unaotusumbua ,kuna maisha hata bila uwalimu .serikali yetu inakiburi sana kwani mgomo wa madactari uliishia mabwepande naogopa na mgomo wa walimu sijui utaishia wapi.:A S 465:
:A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465::A S 465:
 
kata 35% ya mishahara ya viongozi woteeserikalikalini,PUNGUZA POSHO KWA 25%,PETROLIWAPEWE LITA750,BADALA YA LITA 1000,MAGARI YALIYOPOYAKIFAHARIYAVIONGOZI YAUZWE NA WAENDESHE MAGARI YASH30MILIONI,NA TUKUSANYE KODI VIZURI
 
TRA kusanya pesaaaa
 
Back
Top Bottom