Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini, Sasa; umefika wakati wa waalimu kudai haki kwa Nguvu ya Pamoja. Bado nina mashaka kwa uwezo wa CWT kufanikisha mgomo huu.
Je! Ni nani aliye tayari kuwaunga mkono waalimu?
Na aseme sasa!
Nawasikitikia wanafunzi endapo mpango huu utafanikiwa. Taifa linakwenda wapi sasa? Nani wa kulaumiwa?Labda mgomo baridi,hakuna kufundisha wala nini,na ma2nda yatakuwa ni mazero ya f4 na kupata f1 wasiojua kuandika!
Mbona unaandika kwa furaha kama vile huna wakusoma katika jamii yako! Naona tuishauri serikali izime mgomo huu kwa maslahi ya Wanafunzi walioko mashuleni kwa kipindi hiki kigumu. Lakini napendekeza kuwa badala ya kuzima mgomo huu kwa mabomu iuzime kwa mishahara juu juu zaidi kwa walimu wote hasa walimu wa kike au la samahani walimu wote!Mgomo upo sana.Mimi tangu april sijafundisha lakini mshahara ninapata(mgomo baridi).Subiri zero za mwaka huu kidato cha nne.
kata 35% ya mishahara ya viongozi woteeserikalikalini,PUNGUZA POSHO KWA 25%,PETROLIWAPEWE LITA750,BADALA YA LITA 1000,MAGARI YALIYOPOYAKIFAHARIYAVIONGOZI YAUZWE NA WAENDESHE MAGARI YASH30MILIONI,NA TUKUSANYE KODI VIZURI