Mgomo wa Wafanya Biashara Mwanza

Huyu bibi Nchi imemshinda kabisa.aachie ngazi ili awapishe wenye uwezo.kila sehemu ameharibu.
 
Serikali iwaache wafunge mpaka wenyewe wakiamua kufungua

Hakuna mambo ya kudekezana now

Kila mtu anachangamoto kwenye Eneo lake la kujipatia pesa
Wafanyakazi wa serekali watalipwa na nini haya matamanio yako yakitimia?
 
Wafanyakazi wa serekali watalipwa na nini haya matamanio yako yakitimia?

Kuna sehemu nyingi za kupata ela, hata wakigoma mwaka mzima hakuna chembe ya kuyumba itatokea, kama tulipita kwenye COVID hata hii itapita wacha wagome
 
Swala la wafanyabiashara sio la kufumbia macho , tulipofika sio la kuiachia serikali peke yake nashauri kuwepo mjadala wa kitaifa kuhusu jambo hili,

Ndugu Rais na serikali yako chukua ushauri huu.

Namanisha mjadala wa kitaifa kwa sababu ili jambo linatuhusu wote wasiowafanya biashara ambao kesho watakua wafanyabiashara , na wafanya biashara wa sasa , tunaendaje kwenye mjadala wa kitaifa katika jambo hili tafuteni njia sahii kama serikali ,

Lengo mpate mawazo mbadala kwangu naona itasaidia sana kuliko Tunishiana misuli ,
 
Kwa hiyo na sisi Watumishi tugome kwa kukatwa PAYE kubwa siyo? Kila mtu anazo changamoto za kukatwa pesa nyingi katika eneo lake la kujiingizia kipato
 
Kuna sehemu nyingi za kupata ela, hata wakigoma mwaka mzima hakuna chembe ya kuyumba itatokea, kama tulipita kwenye COVID hata hii itapita wacha wagome
Fuatilia hata bajeti ya nchi yako ndo utoe mahitimisho kama haya.
 
Natamani Hii kitu itokee kwa sisi watumishi WA umma na wakulima! Mungu wabariki wafanyabiashara waliofunga biashara zao kupinga udhalimu Wa serikali
 
Kuna sehemu nyingi za kupata ela, hata wakigoma mwaka mzima hakuna chembe ya kuyumba itatokea, kama tulipita kwenye COVID hata hii itapita wacha wagome
Kama kuna sehemu nyingi ya kupata hela mnawabambikia kodi za nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…