Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyo anaongea tu kujifurahisha hajui anachoongeaMkuu think twice
Hasara utapata wew...bidhaa zitaadimika na utauziwa bei juu...Wao ndio wanatakiwa kuthink twice
Wakigoma Nani anapata hasara?
Wafanyakazi wa serekali watalipwa na nini haya matamanio yako yakitimia?Serikali iwaache wafunge mpaka wenyewe wakiamua kufungua
Hakuna mambo ya kudekezana now
Kila mtu anachangamoto kwenye Eneo lake la kujipatia pesa
Huyu bibi Nchi imemshinda kabisa.aachie ngazi ili awapishe wenye uwezo.kila sehemu ameharibu.
Wafanyakazi wa serekali watalipwa na nini haya matamanio yako yakitimia?
Swala la wafanyabiashara sio la kufumbia macho , tulipofika sio la kuiachia serikali peke yake nashauri kuwepo mjadala wa kitaifa kuhusu jambo hili,Maduka yote katikati ya Mji wa Mwanza yamefungwa. Ni usumbufu kwa wafanyabiashara waliotoka maeneo mbalimbali kama Musoma, Kahama, Tarime, Serengeti, Maswa, Bariadi, Ukerewe, Bukoba, Shinyanga na kwingineko kuja kununua mahitaji yao hapa Jiji la Mwanza. Kwa mgomo huu ni indiketa kwa Serikali ya CCM inatakiwa ijipime na ianze kutatua matatizo ya wafanyabiashara na wananchi kwa ujumla.
Kwa hiyo na sisi Watumishi tugome kwa kukatwa PAYE kubwa siyo? Kila mtu anazo changamoto za kukatwa pesa nyingi katika eneo lake la kujiingizia kipatoMaduka yote katikati ya Mji wa Mwanza yamefungwa. Ni usumbufu kwa wafanyabiashara waliotoka maeneo mbalimbali kama Musoma, Kahama, Tarime, Serengeti, Maswa, Bariadi, Ukerewe, Bukoba, Shinyanga na kwingineko kuja kununua mahitaji yao hapa Jiji la Mwanza. Kwa mgomo huu ni indiketa kwa Serikali ya CCM inatakiwa ijipime na ianze kutatua matatizo ya wafanyabiashara na wananchi kwa ujumla.
Fuatilia hata bajeti ya nchi yako ndo utoe mahitimisho kama haya.Kuna sehemu nyingi za kupata ela, hata wakigoma mwaka mzima hakuna chembe ya kuyumba itatokea, kama tulipita kwenye COVID hata hii itapita wacha wagome
Natamani Hii kitu itokee kwa sisi watumishi WA umma na wakulima! Mungu wabariki wafanyabiashara waliofunga biashara zao kupinga udhalimu Wa serikaliMaduka yote katikati ya Mji wa Mwanza yamefungwa. Ni usumbufu kwa wafanyabiashara waliotoka maeneo mbalimbali kama Musoma, Kahama, Tarime, Serengeti, Maswa, Bariadi, Ukerewe, Bukoba, Shinyanga na kwingineko kuja kununua mahitaji yao hapa Jiji la Mwanza. Kwa mgomo huu ni indiketa kwa Serikali ya CCM inatakiwa ijipime na ianze kutatua matatizo ya wafanyabiashara na wananchi kwa ujumla.
DuhAlama yako ya mtu kushindwa kuongoza inchi ni wafanyabiashara kugoma
Kila jambo huanza kwa udogo. Leo wafanyabiashara wakifanikiwa, kesho utasikia wafanyakazi, keshokutwa wakulima, mtondogoo wanafunzi, n.k.Natamani Hii kitu itokee kwa sisi watumishi WA umma na wakulima! Mungu wabariki wafanyabiashara waliofunga biashara zao kupinga udhalimu Wa serikali
Hata mbuyu ulianza kama mchichaKila jambo huanza kwa udogo. Leo wafanyabiashara wakifanikiwa, kesho utasikia wafanyakazi, keshokutwa wakulima, mtondogoo wanafunzi, n.k.
Bila shaka unashida,ngoja tukuache ???Alama yako ya mtu kushindwa kuongoza inchi ni wafanyabiashara kugoma
Kama kuna sehemu nyingi ya kupata hela mnawabambikia kodi za nini?Kuna sehemu nyingi za kupata ela, hata wakigoma mwaka mzima hakuna chembe ya kuyumba itatokea, kama tulipita kwenye COVID hata hii itapita wacha wagome