Mgomo wa Wafanyabiashara Arusha

Mgomo wa Wafanyabiashara Arusha

Mowwo

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2015
Posts
1,083
Reaction score
1,628
Wasalaam
Nimepanga kufika Arusha mjini kufuata manunuzi kadhaa lakini nimejulishwa na machinga mmoja ivi kua maduka yamefungwa kwasababu ya mgomo wa wafanyabiashara.
Mlioko Arusha mjini tujuzeni, kuna mgomo? Nisije kuchoma nauli alaf nikose mzigo
 
Sisi kama wafanyabiashara wa kariakoo tunapanga kuwahamasisha wafanyabiashara Nchi mzima kugoma hadi pale watakapoondoa kero zetu.
 
Hakuna mgomo Arusha, saa 2:40 asubuhi hii nimetoka Arusha Palace hotel naelekea Kilimanajro Airport, watu wanaendelea na business kama kawaida..!!
Nipo njian naelekea town, wacha tuendelee kupambana
 
Sisi kama wafanyabiashara wa kariakoo tunapanga kuwahamasisha wafanyabiashara Nchi mzima kugoma hadi pale watakapoondoa kero zetu.
ila migomo inatuathiri mkuu
 
Back
Top Bottom