Palace means ukapita Mt Meru Hosp. Hujafika city center Kkoo huko, stand ndogoHakuna mgomo Arusha, saa 2:40 asubuhi hii nimetoka Arusha Palace hotel naelekea Kilimanajro Airport, watu wanaendelea na business kama kawaida..!!
Huko Njiro sehemu gani??Ngoja walio mjini waje wakujibu. Lakini Njiro maduka yako wazi