MLIPAKODI
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 234
- 89
Kufuatia kesi iliyofunguliwa dhidi ya mwenyekiti wa wafanyabishara tz(JWT) jumuia ya wafanyabiashara tz bw. Johnson minja ambayo inatarajia kusikilizwa siku tatu mfulizo, na utaratibu wa wafanyabiashara ni kutofungua biashara zao siku za kesi kwa hiyo wamedhamiria kufunga biashara zao kwa siku tatu.
Kwa upeo wangu mdogo kufungwa maduka siku tatu inaathiri uchumi kwa kiasi kikubwa sana na ukiangalia sasahivi pesa yetu inavyoshuka thamani, serikali inatakiwa kulifikia kwa kina hili swala la migomo ya wafanyabiashara kwani linadidimiza uchumi wa nchi yetu.
Nawasilisha