Mgomo wa wafanyabiashara siku tatu mfululizo trh 8,9 na10

MLIPAKODI

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
234
Reaction score
89
Kufuatia kesi iliyofunguliwa dhidi ya mwenyekiti wa wafanyabishara tz(JWT) jumuia ya wafanyabiashara tz bw. Johnson minja ambayo inatarajia kusikilizwa siku tatu mfulizo, na utaratibu wa wafanyabiashara ni kutofungua biashara zao siku za kesi kwa hiyo wamedhamiria kufunga biashara zao kwa siku tatu.

Kwa upeo wangu mdogo kufungwa maduka siku tatu inaathiri uchumi kwa kiasi kikubwa sana na ukiangalia sasahivi pesa yetu inavyoshuka thamani, serikali inatakiwa kulifikia kwa kina hili swala la migomo ya wafanyabiashara kwani linadidimiza uchumi wa nchi yetu.

Nawasilisha
 
Haiathiri chochote kwetu wateja, tunashkuru kwa taarifa mapema tumenunu vyote tunavyotaka. Ila wao wafanyabiashara wengi wamekopa taasisi za fedha wajiandae kwa rejesho la mikopo. Wapo wanarejesha kwa wiki, mwezi, kazi kwao.
 
Wagome tu
 
Ni htari sana kwa uchumi wetu, hivi hii serikali inataraji mwezo wa kumi itachaguliwa na nani? Kama haiwi katibu na wapigakura wake
 
Hivi ndivyo kulivyo kariakoo
 
Attachments

  • 1433769019675.jpg
    1433769019675.jpg
    73.6 KB · Views: 127
  • 1433769046668.jpg
    1433769046668.jpg
    64.1 KB · Views: 106
  • 1433769069838.jpg
    1433769069838.jpg
    76.5 KB · Views: 106
  • 1433769092262.jpg
    1433769092262.jpg
    53 KB · Views: 117
  • 1433769118117.jpg
    1433769118117.jpg
    75.5 KB · Views: 106
  • 1433769144465.jpg
    1433769144465.jpg
    85.7 KB · Views: 108
  • 1433769164050.jpg
    1433769164050.jpg
    66.6 KB · Views: 112
Haiathiri chochote kwetu wateja, tunashkuru kwa taarifa mapema tumenunu vyote tunavyotaka. Ila wao wafanyabiashara wengi wamekopa taasisi za fedha wajiandae kwa rejesho la mikopo. Wapo wanarejesha kwa wiki, mwezi, kazi kwao.

unaonekana una uelewa mdogo juu ya masuala ya kibiashara, mwisho wa siku wewe ndo utakayeumia kwa maduka kufungwa kutakaposababisha uchumi wa nchi kuzidi kudidimia, wao watafungua maduka yao baadae vitu vitakuwa vimepanda bei na vya kwako vitakuwa vimeisha na utalazimika kununua tena.

wao wanajua vizuri kuliko wewe kuhusu marejesho lakini wamefunga biashara zao, wewe weka stock mkuu dukani utarudi tu.
 
Back
Top Bottom