Mgomo wa Wafanyabiashara wafika Mbeya, Mwanza, Dodoma, Arusha, Mtwara, Tunduma, Iringa

Mgomo wa Wafanyabiashara wafika Mbeya, Mwanza, Dodoma, Arusha, Mtwara, Tunduma, Iringa

Ona hili punga,msijipe umuhimu ambao hamna,hapo Mkoa wa Kodi wa Kariakoo unakusanya less than 150bln Kwa mwaka,yaani Ngorongoro ni muhimu kushinda Hilo Gulio.

So acha ujinga,fungeni hata mwaka muone kama Nchi itasimama.
Marinda yako wazi wewe ndo mana unaropoka upuuz ngorongoro yako ina impact gani ya moja kwa moja kwa adha wanayoipata wananchi kisa ignorant ya gvt na wapuuz wachache wasio na marinda kama wewe.
 
Marinda yako wazi wewe ndo mana unaropoka upuuz ngorongoro yako ina impact gani ya moja kwa moja kwa adha wanayoipata wananchi kisa ignorant ya gvt na wapuuz wachache wasio na marinda kama wewe.
Huna hoja wewe mbumbumbu nyumbu
 
Bora ulivoamua kubadili mada kwa maana tunawajua mnaonufaika na mfumo hua hamna point za maana marindaless mkubwa we sasa subir dukani kwa mangi wako unga na sukari ukose alafu uende kiwandani ukanunue sukari,chumvi,unga,na bikini zako.
Wewe,unamtusi "wakili-kituko" wa CCM?😂
 
Bora ulivoamua kubadili mada kwa maana tunawajua mnaonufaika na mfumo hua hamna point za maana marindaless mkubwa we sasa subir dukani kwa mangi[retailers] wako unga na sukari ukose alafu uende kiwandani ukanunue sukari,chumvi,unga,na bikini zako.
Wewe unanufaika na mfumo gani? Mimi sikai huku tunalima na kusaga kwenye mashine hatununui msosi dukani sawa wewe punguani mwenye njaa wa huko Dar? 🤣🤣🤣
 
Ila TRA ni wasumbufu sana aisee wao wanajisikia raha kuvunja rekodi ya mapato huku wakidhurumu mali za watu kwa kuwanyang'anya na kuwapiga faini za Jehanamu...Wafanyabiashara wanajisimamia wenyewe bila mbunge au Waziri yeyote Nchi ngumu sana hiyo wao wapo Bungeni kuongeza 0.5 ya kwenye Railway Development Levy..
 
Serikali ichukulie hii kama hali ya hatari,
Hivi hao wenye maduka wote wakiingia barabarani hii nchi nani ataikaa ?
 
Back
Top Bottom