Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Mkurya mweupeeeeeeee.Mgomo wa wafanyabiashara ulioanzia ,Kariakoo Dar ,leo wafanyabiashara wa Katoro Geita wameunga mkono ambapo maduka yote hasa ya soko la Kariakoo la jumla Katoro Geita yamefungwa yote ,hakuna huduma yoyote ,ni muda wa viongozi Sasa kujitathmini ,maana japo watanzania tunasifika kwa woga Ila movement huwa zinaanza hv taratibu ,sikutegemea hata kuona mkoa wenye watu waoga wengi wanafunga maduka kiasi hiki ,ni muda wa serikali kujitathmini , movement huwa zinaanza hv ,uoga utafika mwisho.
Ni karatasi au chokaa?