Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
Mkurya mweupeeeeeeee.Mgomo wa wafanyabiashara ulioanzia ,Kariakoo Dar ,leo wafanyabiashara wa Katoro Geita wameunga mkono ambapo maduka yote hasa ya soko la Kariakoo la jumla Katoro Geita yamefungwa yote ,hakuna huduma yoyote ,ni muda wa viongozi Sasa kujitathmini ,maana japo watanzania tunasifika kwa woga Ila movement huwa zinaanza hv taratibu ,sikutegemea hata kuona mkoa wenye watu waoga wengi wanafunga maduka kiasi hiki ,ni muda wa serikali kujitathmini , movement huwa zinaanza hv ,uoga utafika mwisho.
Chura kiziwi hajielewi..anahitaji KASHI KASHI kama hiziChura yy ndio tatizo la kwanza.unao waongoza utaki kuwackiliza mafisadi wenzio unawackiliza.
Endelea tu kuziba mackio sw.
KAZI ni kipimo cha UTU
Jamaa kakoleza kweli π€£πππ mkuu umefika mbali zaidi hata ya hiyo urusi na us.
Jimboni Kwa msukuma ni nzera huko ziwani. Anaongoza kamongo na dagaa.Huko ndiyo jimboni kwa Msukuma?
Hizo sheria utungwa na akina nani?Sera na Sheria zetu pamoja na rushwa na ufisadi ndo chanzo cha matatizo yote.