Mgomo wa Wafanyakazi uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta: Polisi watembeza kipigo hadi kwa abiria

Duh pole
Aise Naskia wee unafaa kwenda kwenye marathon maana siyo kwa mbio zile

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app

Wale jamaa huwa kama mazombi vile, tena huja kwa hasira hasira full mzuka, wakianza kutembeza kichapo hawajali umri wala cheo, humo hata waziri akikosea ajichanganye atapokea tu, ukipata fursa toka nduki kumzidi hata Bolt wa Jamaica.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom