Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
- Thread starter
-
- #41
kaja kaview uzi kakimbia bila kuandika chochote [emoji23][emoji23][emoji23]Naona mpaka MK254 kachezea kichapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona mpaka MK254 kachezea kichapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hehehe siku zote FFU wakifanya yao kaa mbali nao hata kama wewe ni Jesca mwanae Jiwe.
Duh poleHehehe siku zote FFU wakifanya yao kaa mbali nao hata kama wewe ni Jesca mwanae Jiwe.
Duh pole
Aise Naskia wee unafaa kwenda kwenye marathon maana siyo kwa mbio zile
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wale jamaa huwa kama mazombi vile, tena huja kwa hasira hasira full mzuka, wakianza kutembeza kichapo hawajali umri wala cheo, humo hata waziri akikosea ajichanganye atapokea tu, ukipata fursa toka nduki kumzidi hata Bolt wa Jamaica.