Mwanaharakatihuru
JF-Expert Member
- Mar 21, 2012
- 477
- 120
Mbona isiwe kesho jaman?
..Nasikia harufu ya damu...sichochei vurugu ila naona vurugu inakuja TZ yaweza geuka Rwanda..sijui..siamini, muulizeni rais Kiwete
Katika sakata dhidi ya serikali na wafanyakazi Mgaya kutoa neno hivi karibuni lakini taarifa za ki intellegensia zinasema kuwa tarehe 15 ndio siku pendekezwa.
Madai pendekezwa:
Maslahi kiduchu
PAYE ipunguzwe
Sheria kuhusu mafao ya kujitoa ibadilishe kipengele cha miaka 55 au 60 hadi miezi miwili.
Serikali iwajibishe polisi kuhusu uchunguzi wa kipigo cha dr Ulimboka
Huu ni upepo tu
dili ni kuanza kununua silaha nzito nzito za kujihami!
kesho tuunanza sisi waalimu!:loco:
Nilidhani mmeshaandamana kumbe mtaandamana? Lini? Au ku-post hapa ndio maandamano menyewe? Watz kwa porojo? Nyie tulieni mkamuliwe vizuri hadi pale akili zitakapowarudia. Namshukuru Mungu sipo kwenye hiyo nchi ya Wadanganyika! Khaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!! Full Sanaa, si Rais, Wabunge, Majaji, Wanausalama, Wananchi wote ni Ze Comedy tupu! Watz wote ni mastaa na wasanii wazuri, mkicheza filamu na M.k.w.e.r.e akawa ndio Starring mtauza dunia nzima! Big up sana!katika jambo ambalo limenigusa katika uongozi wa jk ni hili la mafao.tutaandamana hata tukiwa uchi hatukubali hata kidogo.
Jamani hiyo tarehe 15,mm naona kama mbali.....hivi waliangalia na vigezo vya WHO ambavyo vinasema kiwango cha maisha kwa Wananchi wa TZ kimeshuka hadi kufikia miaka 45?
dili ni kuanza kununua silaha nzito nzito za kujihami!