King Suleiman
JF-Expert Member
- Dec 27, 2010
- 496
- 328
na nyinyi si mnaua basi tuuueni wooote wabaki wanenu tu! SIKILIZENI MATATIZO YA WATU KABLA YA KUFIKA KWENYE MIGOMO! HAKUNA MGOMO UNAOKUJA KAMA RADI, MIGOMO HUFANYIKA KAMA IMESHINDIKANA MAZUNGUMZO! JAMANI CCM AMKENI!!!
CHADEMA wasichafuliwe na migogoro ya UDOM, tatizo UDOM wamekasirika, wamekimbiza fomu za mkulu nchi nzima kipindi cha kupata wadhamini, leo mkulu kawashiti, zile ahadi zote hazijatekelezwa, mara atawapa uwakilishi kwenye NEC mara atahudumia vizuri chuo, waaaapi? ile ilikuwa danganya toto. Nao wasomi lakini hawakutafakari kuwa wanaingizwa mjini na kuachwa kwenye mataa. Nani anawajali UDOM sasa, CCM wamepata nchi, wanakula nchi yao, acha wagawane za DOWANS, za epa, kigoda, meremeta, zilishakwisha zote.
Hakuna mgomo wa wahadhiri UDOM. Ila kuna extended meeting,ambapo wahadhiri wamedhamiria kuwa na mikutano endelevu mpaka pale madai yao yatakapotekelezwa.
Kama chadema ndo wanachochea mgomo wa UDOM basi ndo hao hao watakua wametafuna pesa za waalimu na wanafunzi wa udom. Naiomba serikali iunde tume ya kuwachunguza chadema kwa ufisadi walioufanya.
nashukuru sana kwa mchango wako mzuri ndg yangu, ni kweli Udasa inabidi watoe tamko kupinga kabisa unyanyasaji huu wa serikali.
Namsubiri Tambwe Hiza atoe tamko kulaani mgomo!
Kutoka dodoma mjini:tayari wauwaji wameshawanyunyizia upupu na mabomu ya machoz wanachuo,hali si shwari.
hii safi kama haki is equated to CHADEMA.....ni sawa wanaipa CHADEMA hadhi yake mahsusi!Salaam wana JF,
kweli nimekubali mfamaji haachi kutapata, sasa watawala wa Udom na serikali wanaitaja na kuisingizia CHADEMA kwamba ndio wanachochea migomo chuoni Udom na hususani mgomo huu wa wanataaluma wa chuoni hapo.
makamu mwenyekiti wa UDOMASA (chama cha wanataaluma Udom) ametumiwa jumbe mbali mbali za kuonyesha kwamba wanatumiwa na Chadema na kwamba hawana madai ya msingi (uongo uliokithiri). Na mwanataaluma huyo alisoma hiyo sms mbele ya wantaaluma wenzake.
soma moja ya sms hii . " tunajua mnatumiwa na Chadema kufanya hayo mnayofanya". Hii ni ajabu kabisa kutapatapa badala ya kushughulikia madai yao ya msingi. M/mweyekiti huyo alisema atawapeleka mahakamani wote waliomtumia jumbe hizo na atawashitaki wathibitishe madai yao kama yanaukweli.
Sasa kila muv ya kudai haki tanzania chadema wanahusishwa hata kama hawapo kabisa kwa nini? Bt nafurahi sana kwa sababu ccm bila kujua wanaipa umaarufu Chadema kwamba hakuna haki tanzania bila Chadema.
my take,
uongozi na serikali acheni zengwe shughulikieni madai ya msingi ya wananchi acheni kuisingizia upinzani hususani Chadema.
Hayo madai ni madai gani? Kwa nini hao wanataaluma hawafungui kesi mahakamani ? Au wanalengo ya kuchafua jina la UDOM na mafanikio ya serikali kujenga Chuo Kikuu kizuri kwa muda mfupi tu ?
Naushauri uongozi wa UDOM uchukue hatua za kisheria dhidi ya hao wanataaluma wa UDOM wanaleta migomo-siasa ambayo haifuati sheria za kazi za Tanzania. Mfanyakazi ana haki ya kugoma, lakini utaratibu unaeleweka kisheria. Ninavyofahamu chama cha wanataaluma sio chama cha wafanyakazi (Trade Union) kinachoweza kuitisha mgomo. Hata kama wanataaluma wamefikia uamuzi wa kugoma lazima wafuate sheria za kazi.
Huu utamaduni wamigomo isiyofuata sheria ni kansa mbaya sana inayotafuna utawala wa sheria. Imefikia wakati sheria za kazi zitumike dhidi ya migomo-siasa na hao wanataaluma watakuwa ni mfano mzuri sana wa utawala wa sheria.
Salaam wana JF,
kweli nimekubali mfamaji haachi kutapata, sasa watawala wa Udom na serikali wanaitaja na kuisingizia CHADEMA kwamba ndio wanachochea migomo chuoni Udom na hususani mgomo huu wa wanataaluma wa chuoni hapo.
makamu mwenyekiti wa UDOMASA (chama cha wanataaluma Udom) ametumiwa jumbe mbali mbali za kuonyesha kwamba wanatumiwa na Chadema na kwamba hawana madai ya msingi (uongo uliokithiri). Na mwanataaluma huyo alisoma hiyo sms mbele ya wantaaluma wenzake.
soma moja ya sms hii . " tunajua mnatumiwa na Chadema kufanya hayo mnayofanya". Hii ni ajabu kabisa kutapatapa badala ya kushughulikia madai yao ya msingi. M/mweyekiti huyo alisema atawapeleka mahakamani wote waliomtumia jumbe hizo na atawashitaki wathibitishe madai yao kama yanaukweli.
Sasa kila muv ya kudai haki tanzania chadema wanahusishwa hata kama hawapo kabisa kwa nini? Bt nafurahi sana kwa sababu ccm bila kujua wanaipa umaarufu Chadema kwamba hakuna haki tanzania bila Chadema.
my take,
uongozi na serikali acheni zengwe shughulikieni madai ya msingi ya wananchi acheni kuisingizia upinzani hususani Chadema.
naamini unaupungufu wa kufikiria ndg yangu, kwa taarifa yako wanataaluma wana haki kabisa ya kugoma kwa kufuata utaratibu wa kisheria.
kabla ya kugoma wahadhiri wa Udom walitafuta ushauri wa kisheria kudai haki zao. Kwa hiyo wewe unashabikia dhuluma? Unataka watu wawe wananyonywa na wakae kimya? Acha ushabiki ndg yangu, kama serikali imejenga chuo kizuri kwa gharama nyingi mbona haiwajali watumishi wake?
kama wewe unamaisha mazuri kwa kupata haki zako zote, waache wenzako watafute haki zao kama njia za kawaida zimeshindikana, mgomo ni alternatives, na hawa ni wasomi wamefuata sheria zote.
King Suleiman said:huo si ndio mgomo wenyewe wameupa jina hilo ili kujiepusha na mabomu ya machozi. Kama mgomo haupo mbona darasani hawaingii kufundisha!Hiyo ni term iliyokaa kiteknikali. Na term inaweza badilika kadiri siku za kudai madai zinazopoongezeka. Mfano kesho wanaeza kutumia terms ka academic seminar au workshop. Kijuujuu unaeza kuuita mgomo,ila kitaalamu zaidi huo sio mgomo,kwani hauna features za mgomo.