Mgomo wa Wahudumu wa Ndege: Shirika la Ndege la Ujerumani la Lufthansa lafuta safari za ndege 1,300

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Shirika la Ndege la Ujerumani Lufthansa limefuta karibu safari 1,300 hapo kesho na Ijumaa kwa sababu ya mgomo uliopangwa na chama kinachowawakilisha wahudumu wa ndege nchini Ujerumani.

1.jpg

Chama cha UFO kimewataka wanachama wake kuanza mgomo wa saa 48 kuanzia leo usiku wa manane.

Ni sehemu ya mgogoro mkali na shirika kubwa kabisa la ndege Ujerumani kuhusu mishahara na hadhi ya kisheria ya chama hicho.

Lufthansa imesema leo kuwa inatengeneza mpango maalum wa safari za ndege na abiria watahitajika kuangalia taarifa kuhusu safari zao kwenye tovuti yao.

Shirika hilo limesema litaweza kuwa na safari 1,300 kati ya 3,000 zilizopangwa kesho Alhamisi na 2,400 ya zilizopangwa Ijumaa. Karibu abiria 180,000 wataathirika na kufutwa kwa safari hizo.
 
Nauliza tu, huku kwatu kwa mwaka twapata hizo Safari 3000? Hili ni shirika tu halimilikiwi na serikali
 
Duh safari 2,400 kwa siku Na hapo unakuta Africa wana safari tatu tu. First time kutua Istanbul nilikuta dreamliners Na Airbus za Turkish airline zimejaa kama IST kwa bongo
 
Hata mashirika makubwa kama haya bado mishahara wanabania
 
Ndio wanapata tukichukulia kila siku wanaruka mara 10

Back
Top Bottom