ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Baada ya serikali kupuuza kuboresha maslahi ya walimu na ukiwaona ni tabaka la wanyonge
Walimu nao wamegoma
Na mgomo haukutangazwa hadharani
Yaani wanatoa huduma duni sawa na maslahi duni wanayopewa na Serikali
1. Watoto wa shule wana muda mrefu wa kucheza tu
Yaani walimu ikifika saa 4 watoto madarasani ni makelele tu, walimu wako staff wanachambua Simba na Yanga hawana habari na kufundisha watoto
2 Vijana wa secondary wanazurula tu mjini.
Nikiwa hapo Dar Kuna shule vijana wapo tu stend wanazurula Huwa najiuliza hawa wanasoma saa ngap?
Au utashangaa saa 5 asbh mwanafunzi yupo kwenye daladala, zamani ilikuwa ajabu
4. Walimu siku hizi hawashughuliki na nidhamu za watoto
Walimu wamejikatia tamaa,
Utasikia Mimi sihangaiki na mtoto wa mtu
5.utoro
Walimu wengi hawahudhurii kazini
Huku ni kukata tamaa, Huwa wanatoa taarifa za udhuru za uongo au kutafuta hati za kutibiwa fake
Serikali boresheni maslahi ya walimu ili wapate morali ya kazi
Hapa mnauwa Taifa la kesho